NI MOJA KATI YA MATERIALS AMBAYO HAITOKO KWENYE MITINDO.NILIANZA KUONA ANIMAL PRINTING TANGU NIKIWA MDOGO MIAKA ILE NA MPAKA LEO BADO INAFANYA VYEMA KWENYE TASNIA NZIMA YA MITINDO. HAPA MWANAMITINDO NICOLE RITCHIE AKIWA ANAWAKILISHA MGUUNI KWA KUVAA KIATU CHA MNYAMA
No comments:
Post a Comment