Wednesday, September 1, 2010

VIPODOZI VYA HABBAT SAWDA NA LIWA

NIMEKUWA NIKIPATA SIMU KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI WAKIULIZIA WAPI WATAPATA VIPODOZI VYA ASILI KAMA VYA HABAAT SAWDA NA LIWA.NAPENDA KUWAAMBIA WADAU KWAMBA KWA WALE AMBAO WANAHITAJI NAOMBA WAWASILIANE NAMI NITAWAELEKEZA WAPI KWA KUVIPATA PAMOJA NA BEI ZAKE KWANI NIMESHAWASILIANA NA MUUZAJI WA HIVYO VIPODOZI TOKA ZANZIBAR  NA KUNIAHIDI KUNILETEA STOCK YA KUTOSHA KWA AJILI YA KUWAPATIA WALE WOTE AMBAO WATAKUWA WANAHITAJI.SHUKRANI KWA WOTE WALIOKUWA WANANIPIGIA SIMU BILA YA KUMSAHAU SAUMU MWASIMBA WA RADIO DEUTSCHE WELLE YA UJERUMANI KWA KURUSHA MAHOJIANO YANGU JUU YA MATUMIZI YA VIPODOZI VYA ASILI SIKU YA ALHAMISI SAA KUMI NA MBILI UNUSU JIONI NA KURUDIWA SIKU YA IJUMAA MIDA KAMA HIYO.SHUKRANI DADA MUNGU ATAKUPA  KILA LENYE KHERI NAWE

1 comment:

  1. KAKA NIMEFURAHI SANA KUPATA HII BLOG YAKO NATUMAI SASA TATIZO LANGU LITAFIKA UKOMO, KWANZA ASSALAAM ALEYKUM MIE NI MDADA/MAMA WA MIAKA 43 SASA TATIZO LANGU NI NGOZI YANGU YA USO INA MAFUTA SANA YANI INAHARIBIKA KWA HARAKA SANA NIKAAMBIWA NIJARIBU PRODUCT ZA GNLD BASI NIKANUNUNA NIKAANZA KUPAKA TATIZO LILILONIPATA NI KWAMBA ZILINIWEKA WEUSI KWENYE USO KUZUNGUKA USO WOTE NIMEHANGAIKA SANA KUUTOA HUO WEUSI IMESHINDIKANA KABISA NILITOA TATIZO LANGU KWENYE BLOG YA 8020 BONGOUREMBO NDIO NIKAPATA MSHAURI MMOJA AKANIAMBIA NITEMBELEE BLOG YAKO HIVYO NAOMBA NAWE UNISHAURI KAKANGU MIE RANGI YANGU NI NI MWEUPE ILA SI MWEUPE SANA NATAKA SANA NIRUDI RANGI YANGU YA ASILI NIMEJARIBU KUTUMIA CREAM NYINGI WANAZONIELEKEZA WATU LAKINI NAZIDI KUWE MWEUSI.

    ReplyDelete