Thursday, September 30, 2010

SALAMU KWA WADAU

KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZILIKUWA NJE YA UWEZO WANGU SIKUWA HEWANI KWA KIPINDI KADHAA BAADA YA KUPATA MSIBA WA MTU WANGU WA KARIBU SANA ILA KWA SASA NINASHUKURU MUNGU SO NTAKUWA NIKIPOST IDEAS KAMA KAWAIDA.NASHUKURU MUNGU KWA WALE AMBAO WAMENIFARIJI KIPINDI CHOTE CHA MSIBA.NAWATAKIA  MAISHA MEMA NA UCHAGUZI MWEMA

No comments:

Post a Comment