Thursday, September 30, 2010

LOOK OF THE DAY




SALAMU KWA WADAU

KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZILIKUWA NJE YA UWEZO WANGU SIKUWA HEWANI KWA KIPINDI KADHAA BAADA YA KUPATA MSIBA WA MTU WANGU WA KARIBU SANA ILA KWA SASA NINASHUKURU MUNGU SO NTAKUWA NIKIPOST IDEAS KAMA KAWAIDA.NASHUKURU MUNGU KWA WALE AMBAO WAMENIFARIJI KIPINDI CHOTE CHA MSIBA.NAWATAKIA  MAISHA MEMA NA UCHAGUZI MWEMA

Saturday, September 4, 2010

10 BEST OSCAR DRESSES.

1.NICOLE KIDMAN-1997-JOHN GALIANO.
2.RENEE ZELLWEGER-2004-CAROLINA HERRERA.

3.ANNE HATHAWAY-2009-GIORGIO ARMANI.

4.CHARLIZE THERON-2000-VERA WANG.

5.KATE HUDSON-2003-DONATELA VERSACE.

6.PENELOZE CRUZ-2008-CHANNEL HAUTE COUTURE.

7.MARION COTILLARD-1996-CALVIN KLEIN.

8.GWYNETH PALTROW-1996-CALVIN KLEIN.

9.DIANE LANE-2003-OSCAR DE LA RENTA.

10.JENNIFER GARNER-2004-VALENTINO.


HAPPY BIRTHDAY BEYONCE KNOWLESS

BEYONCE KNOWLESS LEO ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.AMEZALIWA TAREHE KAMA YA LEO MNAMO MWAKA 1981

RAMADHAN DRESSES

SARE SARE MAUA