AHLAAN WASAALAM WADAU WA BLOG? KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZIKO NJE YA UWEZO WANGU NAFIKIRIA KUFUNGA RASMI BLOG HII ILI KUTOA MUDA WA KUFANYA MAMBO YANGU MENGINE NA NINATARAJI KUIFUNGA DECEMBER 31, 2010.ILA MTEJA NI MFALME SO MAONI YENU NAAMINI YATAKUWA NI CHANGAMOTO KWANGU
No comments:
Post a Comment