Monday, October 18, 2010

KARDASHIAN'S SISTERS


WADAU HAWA NI NDUGU KIM NA KOURTNEY KARDASHIAN.HAYA NI MAPENZI YA  KWELI KIASI AMBACHO WANAVAA MPAKA SARE .INGAWA KWA MASTAR W HAPA KWETU WANAONA KAMANI USHAMBA KWA WATU WAWILI KUVAA NGUO ZINAZOFANANA.CHANGAMOTO KWA WADAU WA MITINDO WA HAPA NYUMBANI

No comments:

Post a Comment