NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAOMBA RADHI WAPENZI WA BLOG YANGU KWA KUTOKUWA NAO KWA MUDA NA HII ILIKUWA NI NJE YA UWEZO WANGU MARA BAADA YA KUBANWA NA MAANDALIZI YA MTIHANI WA KUMALIZA CHUO ILA KWA SASA NIMESHARUDI TENA KWENYE LIBENEKE NA INSHALLAH MUNGU ATAJAALIA NITAKUWA NANYI TENA KAMA ZAMANI AMIN.
No comments:
Post a Comment