Thursday, November 19, 2009

SEND OFF PARTY YA BI NOOR A MZEE


HAPA BI HARUSI AKIGONGOSHA GLASS NA MPAMBE WAKE.

AKIWA KATIKA MSAFARA WA KUMPA SHAMPENI BWANA HARUSI.

WAKIELEKEA KATIKA UPANDE WA MAAKULI .

BWANA HARUSI AKIWA NA SAHANI ILIYOJAA MAAKULI.

BI HARUSI AKIWAJIBIKA KWA BWANA HARUSI .


WAFANYAKAZI WENZAKE BI HARUSI WAKIWA KATIKA MSAFARA WA KUPELEKA ZAWADI NA  KUPATA PICHA YA PAMOJA.



WANACHUO WA CBE  NAO HAWAKUBAKI NYUMA KATIKA KUMUAGA MWANACHUO MWENZAO PAMOJA NA KUMPA NASAHA .NAMUONA DADA ELIZA ALIJUA KUKIWAKILISHA CHUO VYEMA.

MWISHO BI HARUSI AKITOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WALE WOTE AMBAO WALIMUUNGA MKONO KATIKA SHEREHE YAKE YA KUMUAGA NA KWENDA KUANZA MAISHA MAPYA YA NDOA NASI TUNAKUTAKIA MAISHA MEMA YA NDOA YENYE KHERI NA BARAKA TELE NA INSHALLAH MTAZIKANA KWA KUDRA ZAKE MAULANA

1 comment:

  1. Nuru uko juu my dia, ulipendezaaaaaaaaaa mpaka basi

    ReplyDelete