Thursday, October 15, 2009

LASTING COUPLE IN THE WORLD

DENZEL WASHINGTON VS PAULETTE PEARSON-26 YEARS.

WILL SMITH VS JADA PINKET-12 YEARS.


DAVID BECKHAM VS VICTORIA ADAMS-10 YEARS.


KUMEKUWA NA TATIZO  KWA WANANDOA  WENGI WA SIKU HIZI KUTODUMU NDANI YA NDOA ZAO. NA KAMA ZIKIDUMU HUWA HAZIFIKI HATA MIAKA 5.SASA WADAU TUJIULIZE  NI NINI HASA KINACHOFANYA MPAKA NDOA ZETU ZISIDUMU? NI KWAMBA TUNAKURUPUKA KATIKA KUFANYA MAAMUZI YA NDOA AU TUNACHOKANA HARAKA BAADA YA NDOA? NINI MAONI YAKO JUU YA HILI?

No comments:

Post a Comment