Monday, August 27, 2012

KITU CHA MANYOYA





WADAU HAYA NI MANYOYA NADHANI KAMA  YA NDEGE AINA YA KANGA.NI JINSI GANI FASHION INAVYOKUWA KIASI AMBACHO WABUNIFU WANAUMIZA VICHWA NA KUBUNI VITU AMBAVYO HAVIKUFIKIRIWA KAMA VINGEKUWA NI MUHIMU KATIKA FASHION.CHANGAMOTO KWA WABUNIFU WA KITANZANIA KATIKA KUTUMIA MATERIALS AMBAYO YANAPATIKANA TANZANIA ILA NINA KUMBUKUMBU KAMA ALLY REHMTULLA ALISHAWAHI KUJA NA HII IDEA KATIKA MOJA YA MAONESHO YAKE NA KIVAZI CHAKE KILIVALIWA NA SUPER MODEL MIRIAM ODEMBA.
 

FLORAL PRINTS