WADAU HII NI HANDBAG YA KIAFRIKA ZAIDI AMBAYO IMETENGENEZWA NA MATERIALS YA BATIK AMBAYO YANATENGENEZWA HAPA NCHINI NA WAJASIRIAMALI.NA HII NI MOJA KATI YA KAZI ZA MIKONO YA KOKOLIKO DESIGNERS WANAOPATIKANA TANGA.KAMA UNATAKA KUWASILIANA NA KOKOLIKO DESIGNER USISITE KUWASILIANA NAMI ILI NIKUPE CONTACT ZAO
BAADHI YA SAMPULI ZA BATII AMBAZO ZIMETENGENEZWA NA KOKOLIKO DESIGNERS NA ZIKO ZA KILA AINA KULINGANA NA MAHITAJI YAKO NA SHUGHULI ULIYOIKUSUDIA.