Tuesday, February 8, 2011

ADORABLE FASHION




FASHION RE-ROCK





LATEST BLUE

KWA WALE WAJUVI WA RANGI WANAWEZA KUTUBAINISHA KUWA AINA HII YA RANGI BLUE NI BLUE GANI MANA NIMEJARIBU KUITAFITI MWENYEWE SIJAPATA JIBU. NADHANI TUNGEIPENDEKEZA KUWA RANGI YA MWAKA 2012 MANA INA MVUTO WA AJABU.KWA WALE WENYE VITU VYA KIJANI KAMA HII TWAWEZA WASILIANA KUPITIA E-MAIL abdallahmasoud@hotmail.com.KAZI KWENU FASHIONISTAS WA MJINI

COLOUR OF MY SIGN

KATIKA RANGI AMBAZO HUWA ZINANIVUTIA NI HII YA PURPLE HUWA INAPENDEZESHA SANA KWA KILA JINSIA KILA RIKA BILA YA KUJALI MUDA GANI PURPLE UMEIVAA.

MORE FASHIONS